Tanzania Union of Government and Health Employees
Cde. Joel Kaminyoge
Chairman of TUGHE

Giving greetings and welcoming the Official Guest at the Seminar for Employers and Leaders of TUGHE Branches held here in Arusha.

  • Mwenyekiti Tawi la TUGHE Ndg.Cleophace Butahe akitoa neno la shukrani kwa Mgeni Rasmi kwa kushiriki ufunguzi wa Kikao cha Baraza
  • Mwenyekiti TUGHE Taifa Cde. Joel Kaminyoge(aliyekaa katikati) ambaye ni Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi TUGHE Jijini Dodoma
  • Some of the delegates who participated in the employers' seminar in the city of Arusha.
  • Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wakiimba wimbo wa mshikamano wakati wa Kikao cha pili cha Baraza la Wafanyakazi TUGHE
  • Mwenyekiti TUGHE Taifa Cde. Joel Kaminyoge akifungua Mkutano wa kumi na mbili(12) wa Kikao cha Tatu(3) cha Baraza la Wafanyakazi la TUGHE Jijini Dodoma.
  • Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la TUGHE wakifuatilia ajenda kwa umakini wakati wa Kikao
  • Wajumbe kutoka Idara ya Sheria TUGHE wakiongozwa na Mkuu wa Idara hiyo, Wakili Mwanaidi Mgowa(watatu kutoka kushoto waliosimama) wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa TUGHE, Cde. Hery Mkunda pamoja na Manaibu, Ndg. Rugemalira Rutatina na Ndg. Amani Msuya
  • Pichani ni Uongozi wa TUGHE ukiwa katika hafla fupi ya Utiaji Saini wa Mkataba wa Ujenzi wa Jengo la Kitega Uchumi la Chama cha TUGHE
  • Uongozi wa TUGHE ukipokea maelekezo kutoka kwa Daktari namna ya kuwatunza watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (Watoto Njiti) kwenye Wodi maalumu ya Watoto hao katika Hospitali ya Shree Hindu Mandal iliyopo jijini Dar es salaam, mara baada ya kufanya mazungumzo na Waandishi wa Habari katika Hospitali hiyo.
  • Pichani ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Doris Mollel Foundation Bi.Doris Mollel (wapili kutoka kushoto) akiwa na Makamu Mwenyekiti TUGHE Taifa Dkt. Jane Madete (wapili kutoka kulia) pamoja na Wadau wa Afya, wakitoa pongezi kwa Serikali juu ya mabadiliko ya Sheria za Kazi kwa Wazazi wanaojifungua watoto kabla ya wakati (watoto njiti), wakati wakizungumza na waandishi wa Habari katika Hospitali ya Shree Hindu Mandal Jijini Dar es salaam.
  • Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe.Eva Nkya akimkabidhi Cheti cha ushiriki wa maonyesho ya wiki ya sheria, Afisa Elimu Kazi na Jinsia wa TUGHE, Ndg.Nsubisi Mwasandende katika hafla fupi ya kuhitimisha maonyesho ya wiki ya sheria iliyofanyika Kitaifa jijini Dodoma katika viwanja vya Nyerere square tarehe 1 Februari 2025.
  • Katibu wa TUGHE Mkoa wa Tanga Cde.Straton Lufyagila (wa nne kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Handeni(HTM) Mkoani Tanga wakati wa uzinduzi wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka hiyo.

As government and health Employees of the United Republic of Tanzania, our main task is to provide services to all Tanzanians, a noble and better service to the whole community. Together, civil servants and health sectors we are determined to unite and form our Union that will unite us and ensure that we implement our responsibility while enjoying all the rights from our Employers. Like all other citizens in the country, we Employees have the right to access the best social services economically in the interest of health, education, water, accommodation and all other eligible services

Message from Secretary General (SG)

News & Events


WATUMISHI TUGHE WAKUMBUSHWA KU ...

Watumishi wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na ...

Read More

BARAZA LA WAFANYAKAZI WA TUGHE ...

Mwenyekiti wa TUGHE Taifa, Cde. Joel Kaminyoge ame ...

Read More

TUGHE, MTANDAO WA AFYA YA UZAZ ...

Mtandao wa Haki ya Afya ya uzazi nchini Tanzania u ...

Read More

Affiliates & Partners