TAMKO LA TUGHE DHIDI YA KIKOKOTOO CHA MAFAO CHA 2018
5 Responses
Naomba kufahamu kwann katiba na kanuni za TUGHE hazijawekwa katika huu ukurasa maalumu (official page) wa TUGHE. Nadhani kuna kila sababu ya kuziweka kwenye sehemu ya ‘publication’ na sio kujaza fomu za CMA peke yake.

Ndugu Mwanachama Ombi lako la kuweka katiba ya TUGHE tumeshalifanyia kazi. Sasa unaweza kusoma katiba mpya ambayo ipo kwenye website yetu
Naomba kujiunga na TUGHE nipo Ludewa
wasiliana na katibu wa mkoa wa njombe kupitia email njombe@tughe .or.tz
Nahitaji TUGHE