Tanzania Union of Government and Health Employees
Cde. Joel Kaminyoge
Chairman of TUGHE

Giving greetings and welcoming the Official Guest at the Seminar for Employers and Leaders of TUGHE Branches held here in Arusha.

  • Pichani ni Mgeni rasmi, Katibu Mkuu TUGHE Taifa Cde. Hery Mkunda akitoa salamu kwa wajumbe wakati wa ufunguzi wa Kikao Kazi cha Wenyeviti na Makatibu wa Matawi ya TUGHE Mkoa wa Dar es salaam kilichofanyika 21-22 Oktoba,2025 Kibaha Mkoani Pwani
  • Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Bi. Zuhura Yunusi akiambatana na Kamishna wa Kazi Bi. Suzan Mkangwa wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa TUGHE wakiongozwa na Mwenyekiti TUGHE Taifa Cde. Joel Kaminyoge katika Semina ya Waajiri na Viongozi wa Matawi ya TUGHE 2025
  • Pichani ni Mgeni Rasmi, Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Bi.Zuhura Yunusi akitoa salamu kwa washiriki wakati wa ufunguzi wa Semina ya Waajiri na Viongozi wa Matawi ya TUGHE iliyofanyika jijini Arusha.
  • Pichani ni Jaji Mfawidhi Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Kazi Mhe. Yose Mlyambina akitoa rai kwa Waajiri, Vyama vya Wafanyakazi pamoja na Mahakama kuhakikisha wanasimamia haki na maslahi ya wafanyakazi, wakati wa ufunguzi wa Semina ya Waajiri na Viongozi wa Matawi ya TUGHE
  • Pichani ni washiriki wa semina kutoka Taasisi mbalimbali nchini wakifuatilia mada zinazofundishwa na wakufunzi wakati wa Semina ya Waajiri na Viongozi wa Matawi ya TUGHE iliyofanyika tarehe 15-19 Septemba 2025 jijini Arusha.
  • Wanachama wa TUGHE zaidi ya 800 wamefanya Utalii wa ndani kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro mara baada ya kumaliza kwa Semina ya siku nne iliyofanyika Mkoani Arusha
  • Pichani ni Mwanadiplomasia mwandamizi na mbobevu Ndg. Omary Mjenga Kashera alipokuwa akiwasilisha mada kuhusu Uongozi wa Kimkakati wakati wa Semina ya Waajiri na Viongozi wa Matawi ya TUGHE 2025
  • Mtaalamu wa Saikolojia na Mkufunzi Dkt. Chris Mauki akiwasilisha mada kwa washiriki wa Semina ya Waajiri na Viongozi wa Matawi ya TUGHE kuhusu Afya ya Akili sehemu ya kazi na namna ya kukabiliana nayo.
  • Kamishna wa Kazi Mhe. Suzan Mkangwa akitoa rai kwa washiriki wa Semina ya Waajiri na Viongozi wa Matawi ya TUGHE juu ya kuelimishana masuala mbalimbali ya kiutumishi ikiwemo mabadiliko ya sheria za kazi yaliyofanywa hivi karibuni katika maeneo yao ya kazi.

As government and health Employees of the United Republic of Tanzania, our main task is to provide services to all Tanzanians, a noble and better service to the whole community. Together, civil servants and health sectors we are determined to unite and form our Union that will unite us and ensure that we implement our responsibility while enjoying all the rights from our Employers. Like all other citizens in the country, we Employees have the right to access the best social services economically in the interest of health, education, water, accommodation and all other eligible services

Message from General Secretary (GS)

News & Events


TUGHE YATOA RAI KWA WAFANYAKAZ ...

Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania ...

Read More

MAKAMU MWENYEKITI AKUTANA NA W ...

Makamu Mwenyekiti TUGHE Taifa, Dkt. Jane Madete ak ...

Read More

DKT. MADETE AFANYA ZIARA OFISI ...

Makamu Mwenyekiti TUGHE Taifa, Dkt. Jane Madete sa ...

Read More

WAKUU WA IDARA,MAKATIBU WA MIK ...

Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania ...

Read More

TUGHE, MTANDAO WA AFYA YA UZAZ ...

Mtandao wa Haki ya Afya ya uzazi nchini Tanzania u ...

Read More

Affiliates & Partners